GLOBAL HABARI SEPT 07: BILIONI 30 KUJENGA MAKAO MAKUU YA UHAMIAJI DODOMA download and watch video song in free
GLOBAL HABARI SEPT 07: BILIONI 30 KUJENGA MAKAO MAKUU YA UHAMIAJI DODOMA • online watch, and free download video or mp3 format
Video published on: 2019-09-07
Download: 1. Right click on the "Video download" buttons, 2. and then click "Save As"!
Video download MP4

GLOBAL HABARI SEPT 07: BILIONI 30 KUJENGA MAKAO MAKUU YA UHAMIAJI DODOMA video lyrics or description

GLOBAL HABARI SEPT 07: BILIONI 30 KUJENGA MAKAO MAKUU YA UHAMIAJI DODOMA

Serikali imepanga kutumia jumla ya Shilingi Bilioni Thelathini katika Mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Jijini Dodoma.

Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani Ramadhani Kailima, ambaye amefanya ziara maalumu ya kukagua ujenzi wa mradi huo wa jengo la ghorofa nane unaoendelea jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine amebainisha mpango wa idara ya uhamiaji kutatua tatizo la uhaba wa majengo kwenye idara hiyo hapa nchini.

Kwa upande wake Mhandisi anayesimamia ujenzi wa mradi huo chini ya Suma JKT David Pallangyo, amethibitisha kukamilika kwa hatua ya msingi ambayo ni hatua ya awali ya ujenzi wa jengo hilo na kuahidi kuukamilisha ndani ya muda uliopangwa ambao ni Novemba mwaka 2020.

Idara ya uhamiaji nchini inaendelea na jitihada za kutatua changamoto ya uhaba wa majengo kwenye idara hiyo ambapo mbali na ujenzi wa majengo mapya, ukarabati unaendelea kwenye majengo ya Uhamiaji Mikoa ya Lindi na Mtwara.

#GLOBALHABARI

Https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho