Geraldine Oduor ft. Christina Shusho - Neno Lako (Final Video) download and watch video song in free
Geraldine Oduor ft. Christina Shusho - Neno Lako (Final Video) • online watch, and free download video or mp3 format
Video published on: 2016-03-23
Download: 1. Right click on the "Video download" buttons, 2. and then click "Save As"!
Video download MP4

Geraldine Oduor ft. Christina Shusho - Neno Lako (Final Video) video lyrics or description

Geraldine Oduor feat. Christina Shusho - Neno Lako
Song Composed & written by Geraldine Oduor
'Thy word is a lamp unto my feet and a light unto my path'....

NENO LAKO.... LYRICS
Geraldine Oduor & Christina Shusho.

Intro)))... Uende mbele. Shika neno lake. Aitimize imani yako. Uende mbele...

Neno lako.. taa ya miguu yangu... na mwanga wangu, mwanga wa njia yangu.....
Nimeapa, nitaifikiliza....... na kulishika, neno lako Bwana.... ×2

1). Ninasahau, yaliyo nyuma yangu, nikiyachumilia, yaliyo mbele yangu..... Nakaza mwendo, niifikilie, mede ya dhawabu ya mwito wangu..... wowowooo

1). Nijapopita, Kati ya bonde la uvuli... Kati ya bonde la mauti, sitaogopa kamwe......
Kwa Maana wewe, U pamoja nami, gongo lako na fimbo yako, vyanifariji..... yeyeyeeehaaa.....

2). Unafundisha mikono yangu vita, ikaupinda upinde wa shaba......
Umenipa ngao ya wokovu wako, unyenyekevu wako baba, umenitegemezaaa......

2). Unahesabu, kutangatanga kwangu, unayatia machozi yangu, katika chupa yako...
Maana wewe (maana wewe)
huponya nafsi yangu (huponya nafsi yangu).... huzuia miguu yangu (Leo) nisianguke kamwe......