HIGHLIGHTS: MAWENZI FC 0-1 YANGA SC download and watch video song in free
HIGHLIGHTS: MAWENZI FC 0-1 YANGA SC • online watch, and free download video or mp3 format
Video published on: 2018-08-12
Download: 1. Right click on the "Video download" buttons, 2. and then click "Save As"!
Video download MP4

HIGHLIGHTS: MAWENZI FC 0-1 YANGA SC video lyrics or description

Yanga SC leo imepata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mawenzi Market FC ya Ligi Daraja la Kwanza kwenye mchezo maalum wa kirafiki kwaajili ya kumuaga Nahodha wa timu hiyo, Nadir Haroub Ali Canavaro.

Mchezo huo ulimalizika kwa Yanga kushinda bao 1-0, bao pekee likifungwa na mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Heritier Makambo dakika ya 53.