USAJILI: Simba Yamleta Ryan Moon Wa Kaizer Chiefs download and watch video song in free
USAJILI: Simba Yamleta Ryan Moon Wa Kaizer Chiefs • online watch, and free download video or mp3 format
Video published on: 2019-06-19
Download: 1. Right click on the "Video download" buttons, 2. and then click "Save As"!
Video download MP4

USAJILI: Simba Yamleta Ryan Moon Wa Kaizer Chiefs video lyrics or description

Subscribes:https://www.youtube.com/c/KidaniStars
RYAN Moon amezaliwa September 15, 1996 Pietermartzburg-KwaZulu-Natal nchini Afrika Kusini.

Kwenye maisha ya soka yeye anacheza nafasi ya ushambuliaji na anapenda kuvaa jezi namba 7, amecheza jumla ya mechi 25 kwa mwaka 2016-17 akiwa na timu mbili tofauti ambazo ni pamoja na Martzburg United ambapo alicheza jumla ya mechi mbili na zote hizo hakufunga bao.

Pia kwenye klabu yake ya Kaizer Chief amecheza jumla ya mechi 25 na amefunga jumla ya mabao matano.

Kwenye timu ya Taifa ya Afrika Kusini amecheza jumla ya mechi 8 tangu mwaka 2017 na amefunga bao 1, imeelezwa kuwa yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Simba.

Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars

Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars

Twitter: https://twitter.com/Kidanistars